Surat Al-Fatihah, aya 5

1:5

إِيَّاكَ نَعۡبُدُ وَإِيَّاكَ نَسۡتَعِينُ ٥

Iyyāka na'budu wa iyyāka nasta'īn

Wewe tu tunakuabudu, na wewe tu tunakuomba msaada. 5

Maelezo ya chini

5 Hatumuabudu yeyote ila Wewe tu, wala hatutaki msaada kwa yeyote ila kwako tu.