Surat At-Tariq الطارق

Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

وَٱلسَّمَآءِ وَٱلطَّارِقِ ١

Was-samā'i wat-tāriq

Naapa kwa mbingu na Kinacho kuja usiku! 1

وَمَآ أَدۡرَىٰكَ مَا ٱلطَّارِقُ ٢

Wamā adrāka mat-tāriq

Na nini kitakacho kujuulisha ni nini hicho Kinacho kuja usiku? 2

ٱلنَّجۡمُ ٱلثَّاقِبُ ٣

An-najmuth-thāqib

Ni Nyota yenye mwanga mkali. 3

إِن كُلُّ نَفۡسٖ لَّمَّا عَلَيۡهَا حَافِظٞ ٤

In kullu nafsil lammā 'alayhā hāfiz

Hapana nafsi ila inayo mwangalizi. 4

فَلۡيَنظُرِ ٱلۡإِنسَٰنُ مِمَّ خُلِقَ ٥

Falyanzuril-insānu mimma khuliq

Hebu naajitazame mwanaadamu ameumbwa kwa kitu gani? 5

خُلِقَ مِن مَّآءٖ دَافِقٖ ٦

Khuliqa mim mā'in dāfiq

Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa! 6

يَخۡرُجُ مِنۢ بَيۡنِ ٱلصُّلۡبِ وَٱلتَّرَآئِبِ ٧

Yakhruju mim baynis-sulbi wat-tarā'ib

Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu. 7

إِنَّهُۥ عَلَىٰ رَجۡعِهِۦ لَقَادِرٞ ٨

Innahū 'alā raj'ihī laqādir

Hakika Yeye ana uweza wa kumrudisha. 8

يَوۡمَ تُبۡلَى ٱلسَّرَآئِرُ ٩

Yawma tublas-sarā'ir

Siku zitakapo dhihirishwa siri. 9

فَمَا لَهُۥ مِن قُوَّةٖ وَلَا نَاصِرٖ ١٠

Famā lahū min quwwatin walā nāsir

Basi hatakuwa na nguvu wala msaidizi. 10

وَٱلسَّمَآءِ ذَاتِ ٱلرَّجۡعِ ١١

Was-samā'i dhātir-raj'

Naapa kwa mbingu yenye marejeo! 11

وَٱلۡأَرۡضِ ذَاتِ ٱلصَّدۡعِ ١٢

Wal-ardi dhātis-sad'

Na kwa ardhi inayo pasuka! 12

إِنَّهُۥ لَقَوۡلٞ فَصۡلٞ ١٣

Innahū laqawlun fasl

Hakika hii ni kauli ya kupambanua. 13

وَمَا هُوَ بِٱلۡهَزۡلِ ١٤

Wamā huwa bil-hazl

Wala si mzaha. 14

إِنَّهُمۡ يَكِيدُونَ كَيۡدٗا ١٥

Innahum yakīdūna kaydā

Hakika wao wanapanga mpango. 15

وَأَكِيدُ كَيۡدٗا ١٦

Wa akīdu kaydā

Na Mimi napanga mpango. 16

فَمَهِّلِ ٱلۡكَٰفِرِينَ أَمۡهِلۡهُمۡ رُوَيۡدَۢا ١٧

Famahhilil-kāfirīna amhilhum ruwaydā

Basi wape muhula makafiri - wape muhula pole pole. 17

Nambari za maelezo ya chini zinaelekeza kwenye ukurasa wa aya, ambapo maelezo ya mfasiri yanaonyeshwa.

Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.

Maswali

Surat At-Tariq ina aya ngapi?

Surat At-Tariq ina aya 17. Ni sura namba 86 ya Qur'ani.

Je, Surat At-Tariq ni Makkiya au Madaniya?

Surat At-Tariq ni sura Makkiya.

Surat At-Tariq iko katika juzuu gani?

Surat At-Tariq iko katika juzuu 30.

Je, naweza kusikiliza Surat At-Tariq?

Ndiyo. Bonyeza Cheza juu ya ukurasa huu, au anza kutoka aya yoyote. Programu ya Qabas pia inakuwezesha kuipakua ili kuisikiliza bila intaneti.