إِنَّهُۥ عَلَىٰ رَجۡعِهِۦ لَقَادِرٞ ٨
Innahū 'alā raj'ihī laqādir
Hakika Yeye ana uweza wa kumrudisha. 8
Maelezo ya chini
8 Hakika Mwenyezi Mungu aliye muumba hivi hapo mwanzo, bila ya shaka ni Muweza wa kumuumba tena baada ya kufa kwake.