فَمَهِّلِ ٱلۡكَٰفِرِينَ أَمۡهِلۡهُمۡ رُوَيۡدَۢا ١٧
Famahhilil-kāfirīna amhilhum ruwaydā
Basi wape muhula makafiri - wape muhula pole pole. 17
Maelezo ya chini
17 Basi wangojee hao makafiri! Wape muhula wa karibu mpaka nikuamrishe amri gani kali ya kuwatendea.