Surat At-Tariq, aya 2

86:2

وَمَآ أَدۡرَىٰكَ مَا ٱلطَّارِقُ ٢

Wamā adrāka mat-tāriq

Na nini kitakacho kujuulisha ni nini hicho Kinacho kuja usiku? 2

Maelezo ya chini

2 Na kitu gani kitakujuvya ukweli wa nyota hii? Ni hiyo inayotoa mwanga wake katika giza.