Surat At-Tariq, aya 13

86:13

إِنَّهُۥ لَقَوۡلٞ فَصۡلٞ ١٣

Innahū laqawlun fasl

Hakika hii ni kauli ya kupambanua. 13

Maelezo ya chini

13 Hakika hii Qur'ani ni yenye kupambanua baina ya kweli na uwongo.