Surat At-Tariq, aya 15

86:15

إِنَّهُمۡ يَكِيدُونَ كَيۡدٗا ١٥

Innahum yakīdūna kaydā

Hakika wao wanapanga mpango. 15

Maelezo ya chini

15 Hakika hao wanao ikadhibisha Qur'ani wanaipangia njama kutaka kuiharibia, njama zenye kufikia ukomo!