Surat At-Tariq, aya 11

86:11

وَٱلسَّمَآءِ ذَاتِ ٱلرَّجۡعِ ١١

Was-samā'i dhātir-raj'

Naapa kwa mbingu yenye marejeo! 11

Maelezo ya chini

11 Naapa kwa mbingu yenye mvua inayo rejea na kuja mara kwa mara!