Surat At-Tariq, aya 4

86:4

إِن كُلُّ نَفۡسٖ لَّمَّا عَلَيۡهَا حَافِظٞ ٤

In kullu nafsil lammā 'alayhā hāfiz

Hapana nafsi ila inayo mwangalizi. 4

Maelezo ya chini

4 Hapana nafsi ila inayo mlinzi wa kuiangalia na kudhibiti vitendo vyake.