Surat At-Tariq, aya 10

86:10

فَمَا لَهُۥ مِن قُوَّةٖ وَلَا نَاصِرٖ ١٠

Famā lahū min quwwatin walā nāsir

Basi hatakuwa na nguvu wala msaidizi. 10

Maelezo ya chini

10 Basi hapana mtu wakati huo ataye kuwa na nguvu ya kujikinga nafsi yake, wala hatakuwa na msaidizi wa kumnusuru.