Surat At-Tariq, aya 9

86:9

يَوۡمَ تُبۡلَى ٱلسَّرَآئِرُ ٩

Yawma tublas-sarā'ir

Siku zitakapo dhihirishwa siri. 9

Maelezo ya chini

9 Siku dhamiri zitapo fanyiwa mtihani, na zitengwe mbali mbali baina ya ziliyo kuwa nzuri na ziliyo kuwa mbovu.