Surat Al-Ma'un الماعون

Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

أَرَءَيۡتَ ٱلَّذِي يُكَذِّبُ بِٱلدِّينِ ١

Ara'aytal-ladhī yukaddhibu bid-dīn

Je! Umemwona anaye kadhibisha Malipo? 1

فَذَٰلِكَ ٱلَّذِي يَدُعُّ ٱلۡيَتِيمَ ٢

Fadhālikal-ladhī yadu''ul-yatīm

Huyo ndiye anaye msukuma yatima, 2

وَلَا يَحُضُّ عَلَىٰ طَعَامِ ٱلۡمِسۡكِينِ ٣

Walā yahuddu 'alā ta'āmil-miskīn

Wala hahimizi kumlisha masikini. 3

فَوَيۡلٞ لِّلۡمُصَلِّينَ ٤

Fawaylul lil-musallīn

Basi, ole wao wanao swali, 4

ٱلَّذِينَ هُمۡ عَن صَلَاتِهِمۡ سَاهُونَ ٥

Alladhīna hum 'an salātihim sāhūn

Ambao wanapuuza Sala zao; 5

ٱلَّذِينَ هُمۡ يُرَآءُونَ ٦

Alladhīna hum yurā'ūn

Ambao wanajionyesha, 6

وَيَمۡنَعُونَ ٱلۡمَاعُونَ ٧

Wayamna'ūnal-mā'ūn

Nao huku wanazuia msaada. 7

Nambari za maelezo ya chini zinaelekeza kwenye ukurasa wa aya, ambapo maelezo ya mfasiri yanaonyeshwa.

Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.

Maswali

Surat Al-Ma'un ina aya ngapi?

Surat Al-Ma'un ina aya 7. Ni sura namba 107 ya Qur'ani.

Je, Surat Al-Ma'un ni Makkiya au Madaniya?

Surat Al-Ma'un ni sura Makkiya.

Surat Al-Ma'un iko katika juzuu gani?

Surat Al-Ma'un iko katika juzuu 30.

Je, naweza kusikiliza Surat Al-Ma'un?

Ndiyo. Bonyeza Cheza juu ya ukurasa huu, au anza kutoka aya yoyote. Programu ya Qabas pia inakuwezesha kuipakua ili kuisikiliza bila intaneti.