لِإِيلَٰفِ قُرَيۡشٍ ١
Li īlāfi quraysh
Kwa walivyo zoea Maqureshi, 1
Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani
بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
لِإِيلَٰفِ قُرَيۡشٍ ١
Li īlāfi quraysh
Kwa walivyo zoea Maqureshi, 1
إِۦلَٰفِهِمۡ رِحۡلَةَ ٱلشِّتَآءِ وَٱلصَّيۡفِ ٢
Īlāfihim rihlatash-shitā'i was-sayf
Kuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za joto. 2
فَلۡيَعۡبُدُواْ رَبَّ هَٰذَا ٱلۡبَيۡتِ ٣
Falya'budū rabba hādhal-bayt
Basi nawamuabudu Mola Mlezi wa Nyumba hii, 3
ٱلَّذِيٓ أَطۡعَمَهُم مِّن جُوعٖ وَءَامَنَهُم مِّنۡ خَوۡفِۭ ٤
Alladhī at'amahum min jū'in wa āmanahum min khawf
Ambaye anawalisha wasipate njaa, na anawalinda na khofu. 4
Nambari za maelezo ya chini zinaelekeza kwenye ukurasa wa aya, ambapo maelezo ya mfasiri yanaonyeshwa.
Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.
Surat Quraysh ina aya 4. Ni sura namba 106 ya Qur'ani.
Surat Quraysh ni sura Makkiya.
Surat Quraysh iko katika juzuu 30.
Ndiyo. Bonyeza Cheza juu ya ukurasa huu, au anza kutoka aya yoyote. Programu ya Qabas pia inakuwezesha kuipakua ili kuisikiliza bila intaneti.