فَوَيۡلٞ لِّلۡمُصَلِّينَ ٤
Fawaylul lil-musallīn
Basi, ole wao wanao swali, 4
Maelezo ya chini
4 Maangamio yatawashukia wanao sali na wakasifika kwa sifa hizi, na wakaghafilika na Swala zao wasinafiike nazo.
فَوَيۡلٞ لِّلۡمُصَلِّينَ ٤
Fawaylul lil-musallīn
Basi, ole wao wanao swali, 4
4 Maangamio yatawashukia wanao sali na wakasifika kwa sifa hizi, na wakaghafilika na Swala zao wasinafiike nazo.