ٱلَّذِينَ هُمۡ يُرَآءُونَ ٦
Alladhīna hum yurā'ūn
Ambao wanajionyesha, 6
Maelezo ya chini
6 Ambao huonyesha kwa watu vitendo vyao, ili wapate cheo katika nyoyo za hao watu, na wasifiwe.
ٱلَّذِينَ هُمۡ يُرَآءُونَ ٦
Alladhīna hum yurā'ūn
Ambao wanajionyesha, 6
6 Ambao huonyesha kwa watu vitendo vyao, ili wapate cheo katika nyoyo za hao watu, na wasifiwe.