Surat Al-Ma'un, aya 2

107:2

فَذَٰلِكَ ٱلَّذِي يَدُعُّ ٱلۡيَتِيمَ ٢

Fadhālikal-ladhī yadu''ul-yatīm

Huyo ndiye anaye msukuma yatima, 2

Maelezo ya chini

2 Ukitaka kumjua basi ni huyo ambaye anaye msukuma yatima kwa nguvu, na anamtumilia mabavu, na anamdhulumu,