مِن شَرِّ مَا خَلَقَ ٢
Min sharri mā khalaq
Na shari ya alivyo viumba, 2
Maelezo ya chini
2 Na shari ya kila chenye shari katika viumbe, ambavyo hapana wa kuzuia shari yao ila Mwenye kumiliki amri yao.
مِن شَرِّ مَا خَلَقَ ٢
Min sharri mā khalaq
Na shari ya alivyo viumba, 2
2 Na shari ya kila chenye shari katika viumbe, ambavyo hapana wa kuzuia shari yao ila Mwenye kumiliki amri yao.