Surat Al-Falaq, aya 5

113:5

وَمِن شَرِّ حَاسِدٍ إِذَا حَسَدَ ٥

Wamin sharri hāsidin idhā hasad

Na shari ya hasidi anapo husudu. 5

Maelezo ya chini

5 Na shari ya hasidi anaye tamani iondoke neema kwa wengine.