قُلۡ يَٰٓأَيُّهَا ٱلۡكَٰفِرُونَ ١
Qul yā'ayyuhal-kāfirūn
Sema: Enyi makafiri! 1
Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani
بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
قُلۡ يَٰٓأَيُّهَا ٱلۡكَٰفِرُونَ ١
Qul yā'ayyuhal-kāfirūn
Sema: Enyi makafiri! 1
لَآ أَعۡبُدُ مَا تَعۡبُدُونَ ٢
Lā a'budu mā ta'budūn
Siabudu mnacho kiabudu; 2
وَلَآ أَنتُمۡ عَٰبِدُونَ مَآ أَعۡبُدُ ٣
Walā antum 'ābidūna mā a'bud
Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. 3
وَلَآ أَنَا۠ عَابِدٞ مَّا عَبَدتُّمۡ ٤
Walā ana 'ābidum mā 'abattum
Wala sitaabudu mnacho abudu. 4
وَلَآ أَنتُمۡ عَٰبِدُونَ مَآ أَعۡبُدُ ٥
Walā antum 'ābidūna mā a'bud
Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. 5
لَكُمۡ دِينُكُمۡ وَلِيَ دِينِ ٦
Lakum dīnukum waliya dīn
Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu. 6
Nambari za maelezo ya chini zinaelekeza kwenye ukurasa wa aya, ambapo maelezo ya mfasiri yanaonyeshwa.
Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.
Surat Al-Kafirun ina aya 6. Ni sura namba 109 ya Qur'ani.
Surat Al-Kafirun ni sura Makkiya.
Surat Al-Kafirun iko katika juzuu 30.
Ndiyo. Bonyeza Cheza juu ya ukurasa huu, au anza kutoka aya yoyote. Programu ya Qabas pia inakuwezesha kuipakua ili kuisikiliza bila intaneti.