وَلَآ أَنتُمۡ عَٰبِدُونَ مَآ أَعۡبُدُ ٥
Walā antum 'ābidūna mā a'bud
Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. 5
Maelezo ya chini
5 Wala nyinyi si wenye kuabudu mfano wa ibada yangu, kwani hii ni Tawhidi, ibada ya Mungu Mmoja.