وَلَآ أَنَا۠ عَابِدٞ مَّا عَبَدتُّمۡ ٤
Walā ana 'ābidum mā 'abattum
Wala sitaabudu mnacho abudu. 4
Maelezo ya chini
4 Wala mimi si mwenye kuabudu mfano wa ibada yenu, kwani nyinyi ni washirikina.
وَلَآ أَنَا۠ عَابِدٞ مَّا عَبَدتُّمۡ ٤
Walā ana 'ābidum mā 'abattum
Wala sitaabudu mnacho abudu. 4
4 Wala mimi si mwenye kuabudu mfano wa ibada yenu, kwani nyinyi ni washirikina.