لَكُمۡ دِينُكُمۡ وَلِيَ دِينِ ٦
Lakum dīnukum waliya dīn
Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu. 6
Maelezo ya chini
6 Nyinyi mna dini yenu mnayo itakidi, na mimi nina Dini yangu aliyo niteulia Mwenyezi Mungu niishike.