Surat Al-Humazah الهمزة

Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

وَيۡلٞ لِّكُلِّ هُمَزَةٖ لُّمَزَةٍ ١

Waylul likulli humazatil lumazah

Ole wake kila safihi, msengenyaji! 1

ٱلَّذِي جَمَعَ مَالٗا وَعَدَّدَهُۥ ٢

Alladhī jama'a mālan wa'addadah

Aliye kusanya mali na kuyahisabu. 2

يَحۡسَبُ أَنَّ مَالَهُۥٓ أَخۡلَدَهُۥ ٣

Yahsabu anna mālahū akhladah

Anadhani ya kuwa mali yake yatambakisha milele! 3

كَلَّاۖ لَيُنۢبَذَنَّ فِي ٱلۡحُطَمَةِ ٤

Kallā layumbadhanna fil-hutamah

Hasha! Atavurumishwa katika H'ut'ama. 4

وَمَآ أَدۡرَىٰكَ مَا ٱلۡحُطَمَةُ ٥

Wamā adrāka mal-hutamah

Na nani atakujuvya ni nini H'ut'ama? 5

نَارُ ٱللَّهِ ٱلۡمُوقَدَةُ ٦

Nārullāhil-mūqadah

Moto wa Mwenyezi Mungu ulio washwa. 6

ٱلَّتِي تَطَّلِعُ عَلَى ٱلۡأَفۡـِٔدَةِ ٧

Allatī tattali'u 'alal-af'idah

Ambao unapanda nyoyoni. 7

إِنَّهَا عَلَيۡهِم مُّؤۡصَدَةٞ ٨

Innahā 'alayhim mu'sadah

Hakika huo utafungiwa nao 8

فِي عَمَدٖ مُّمَدَّدَةِۭ ٩

Fī 'amadim mumaddadah

Kwenye nguzo zilio nyooshwa. 9

Nambari za maelezo ya chini zinaelekeza kwenye ukurasa wa aya, ambapo maelezo ya mfasiri yanaonyeshwa.

Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.

Maswali

Surat Al-Humazah ina aya ngapi?

Surat Al-Humazah ina aya 9. Ni sura namba 104 ya Qur'ani.

Je, Surat Al-Humazah ni Makkiya au Madaniya?

Surat Al-Humazah ni sura Makkiya.

Surat Al-Humazah iko katika juzuu gani?

Surat Al-Humazah iko katika juzuu 30.

Je, naweza kusikiliza Surat Al-Humazah?

Ndiyo. Bonyeza Cheza juu ya ukurasa huu, au anza kutoka aya yoyote. Programu ya Qabas pia inakuwezesha kuipakua ili kuisikiliza bila intaneti.