يَحۡسَبُ أَنَّ مَالَهُۥٓ أَخۡلَدَهُۥ ٣
Yahsabu anna mālahū akhladah
Anadhani ya kuwa mali yake yatambakisha milele! 3
Maelezo ya chini
3 Anadhani huyo kuwa mali yake yatamweka milele duniani, na yatamkinga na hayo anayo yachukia?