Surat Al-Humazah, aya 4

104:4

كَلَّاۖ لَيُنۢبَذَنَّ فِي ٱلۡحُطَمَةِ ٤

Kallā layumbadhanna fil-hutamah

Hasha! Atavurumishwa katika H'ut'ama. 4

Maelezo ya chini

4 Na aache dhana hiyo! Wallahi! Hapana shaka yoyote kwa vitendo vyake viovu hivyo atakuja tumbukizwa katika Moto unao vuruga kila kinacho tupwa humo!