ٱلَّذِي جَمَعَ مَالٗا وَعَدَّدَهُۥ ٢
Alladhī jama'a mālan wa'addadah
Aliye kusanya mali na kuyahisabu. 2
Maelezo ya chini
2 Ambaye amekusanya chungu ya mali na akawa kazi yake kuyahisabu tu, kwa kuona ladha huko kuhisabu.