Surat Quraysh, aya 3

106:3

فَلۡيَعۡبُدُواْ رَبَّ هَٰذَا ٱلۡبَيۡتِ ٣

Falya'budū rabba hādhal-bayt

Basi nawamuabudu Mola Mlezi wa Nyumba hii, 3

Maelezo ya chini

3 Basi wamtakasie ibada Mola Mlezi wa Nyumba hii aliye wawezesha kuzifanya hizi safari mbili.