ٱلَّذِيٓ أَطۡعَمَهُم مِّن جُوعٖ وَءَامَنَهُم مِّنۡ خَوۡفِۭ ٤
Alladhī at'amahum min jū'in wa āmanahum min khawf
Ambaye anawalisha wasipate njaa, na anawalinda na khofu. 4
Maelezo ya chini
4 Ambaye anawalisha wasione njaa, na hali wao wamo katika bonde lisio na makulima, na akawalinda na khofu na watu wengine pembezoni mwao wananyakuliwa.