يَٰٓأَيُّهَا ٱلۡمُزَّمِّلُ ١
Yā'ayyuhal-muzzammil
Ewe uliye jifunika! 1
Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani
بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
يَٰٓأَيُّهَا ٱلۡمُزَّمِّلُ ١
Yā'ayyuhal-muzzammil
Ewe uliye jifunika! 1
قُمِ ٱلَّيۡلَ إِلَّا قَلِيلٗا ٢
Qumil-layla illā qalīlā
Kesha usiku kucha, ila kidogo tu! 2
نِّصۡفَهُۥٓ أَوِ ٱنقُصۡ مِنۡهُ قَلِيلًا ٣
Nnisfahū awinqus minhu qalīlā
Nusu yake, au ipunguze kidogo. 3
أَوۡ زِدۡ عَلَيۡهِ وَرَتِّلِ ٱلۡقُرۡءَانَ تَرۡتِيلًا ٤
Aw zid 'alayhi warattilil-qur'āna tartīlā
Au izidishe - na soma Qur'ani kwa utaratibu na utungo. 4
إِنَّا سَنُلۡقِي عَلَيۡكَ قَوۡلٗا ثَقِيلًا ٥
Innā sanulqī 'alayka qawlan thaqīlā
ka Hakika Sisi tutakuteremshia uli nzito. 5
إِنَّ نَاشِئَةَ ٱلَّيۡلِ هِيَ أَشَدُّ وَطۡـٔٗا وَأَقۡوَمُ قِيلًا ٦
Inna nāshi'atal-layli hiya ashaddu wat'an wa aqwamu qīlā
Hakika kuamka usiku kunawafikiana zaidi na moyo, na maneno yake yanatua zaidi. 6
إِنَّ لَكَ فِي ٱلنَّهَارِ سَبۡحٗا طَوِيلٗا ٧
Inna laka fin-nahāri sabhan tawīlā
Kwani hakika mchana una shughuli nyingi. 7
وَٱذۡكُرِ ٱسۡمَ رَبِّكَ وَتَبَتَّلۡ إِلَيۡهِ تَبۡتِيلٗا ٨
Wadhkurisma rabbika watabattal ilayhi tabtīlā
Na lidhukuru jina la Mola wako Mlezi, na ujitolee kwake kwa ukamilifu. 8
رَّبُّ ٱلۡمَشۡرِقِ وَٱلۡمَغۡرِبِ لَآ إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ فَٱتَّخِذۡهُ وَكِيلٗا ٩
Rrabbul-mashriqi wal-maghribi lā ilāha illā huwa fattakhidhhu wakīlā
Mola Mlezi wa mashariki na magharibi, hapana mungu isipo kuwa Yeye, basi mfanye kuwa Mtegemewa wako. 9
وَٱصۡبِرۡ عَلَىٰ مَا يَقُولُونَ وَٱهۡجُرۡهُمۡ هَجۡرٗا جَمِيلٗا ١٠
Wasbir 'alā mā yaqūlūna wahjurhum hajran jamīlā
Na vumilia hayo wayasemayo, na jitenge nao kwa vizuri. 10
وَذَرۡنِي وَٱلۡمُكَذِّبِينَ أُوْلِي ٱلنَّعۡمَةِ وَمَهِّلۡهُمۡ قَلِيلًا ١١
Wadharnī wal-mukaddhibīna ulin-na'mati wamahhilhum qalīlā
Na niache Mimi na hao wanao kanusha, walio neemeka; na wape muhula kidogo! 11
إِنَّ لَدَيۡنَآ أَنكَالٗا وَجَحِيمٗا ١٢
Inna ladaynā ankālan wajahīmā
Hakika Sisi tunazo pingu nzito na Moto unao waka kwa ukali kabisa! 12
وَطَعَامٗا ذَا غُصَّةٖ وَعَذَابًا أَلِيمٗا ١٣
Wata'āman dhā ghussatin wa'adhāban alīmā
Na chakula kinacho kwama kooni, na adhabu inayo umiza. 13
يَوۡمَ تَرۡجُفُ ٱلۡأَرۡضُ وَٱلۡجِبَالُ وَكَانَتِ ٱلۡجِبَالُ كَثِيبٗا مَّهِيلًا ١٤
Yawma tarjuful-ardu wal-jibālu wakānatil-jibālu kathībam mahīlā
Siku ambayo ardhi itatikiswa na milima pia, na milima itakuwa kama tifutifu la mchanga. 14
إِنَّآ أَرۡسَلۡنَآ إِلَيۡكُمۡ رَسُولٗا شَٰهِدًا عَلَيۡكُمۡ كَمَآ أَرۡسَلۡنَآ إِلَىٰ فِرۡعَوۡنَ رَسُولٗا ١٥
Innā arsalnā ilaykum rasūlan shāhidan 'alaykum kamā arsalnā ilā fir'awna rasūlā
Hakika Sisi tumemtuma kwenu Mtume aliye shahidi juu yenu, kama tulivyo mtuma Mtume kwa Firauni. 15
فَعَصَىٰ فِرۡعَوۡنُ ٱلرَّسُولَ فَأَخَذۡنَٰهُ أَخۡذٗا وَبِيلٗا ١٦
Fa'asā fir'awnur-rasūla fa akhadhnāhu akhdhan wabīlā
Lakini Firauni alimuasi huyo Mtume, basi tukamshika mshiko wa mateso. 16
فَكَيۡفَ تَتَّقُونَ إِن كَفَرۡتُمۡ يَوۡمٗا يَجۡعَلُ ٱلۡوِلۡدَٰنَ شِيبًا ١٧
Fakayfa tattaqūna in kafartum yawman yaj'alul-wildāna shībā
Basi nyinyi mkikufuru, mtawezaje kujikinga na Siku ambayo itawafanya watoto wadogo waote mvi? 17
ٱلسَّمَآءُ مُنفَطِرُۢ بِهِۦۚ كَانَ وَعۡدُهُۥ مَفۡعُولًا ١٨
As-samā'u munfatiru bihī kāna wa'duhū maf'ūlā
Hapo mbingu zitapasuka! Ahadi yake itakuwa imetekelezwa. 18
إِنَّ هَٰذِهِۦ تَذۡكِرَةٞۖ فَمَن شَآءَ ٱتَّخَذَ إِلَىٰ رَبِّهِۦ سَبِيلًا ١٩
Inna hādhihī tadhkiratun faman shā'at-takhadha ilā rabbihī sabīlā
Kwa hakika hili ni kumbusho. Mwenye kutaka atashika njia ya kwendea kwa Mola wake Mlezi. 19
۞ إِنَّ رَبَّكَ يَعۡلَمُ أَنَّكَ تَقُومُ أَدۡنَىٰ مِن ثُلُثَيِ ٱلَّيۡلِ وَنِصۡفَهُۥ وَثُلُثَهُۥ وَطَآئِفَةٞ مِّنَ ٱلَّذِينَ مَعَكَۚ وَٱللَّهُ يُقَدِّرُ ٱلَّيۡلَ وَٱلنَّهَارَۚ عَلِمَ أَن لَّن تُحۡصُوهُ فَتَابَ عَلَيۡكُمۡۖ فَٱقۡرَءُواْ مَا تَيَسَّرَ مِنَ ٱلۡقُرۡءَانِۚ عَلِمَ أَن سَيَكُونُ مِنكُم مَّرۡضَىٰ وَءَاخَرُونَ يَضۡرِبُونَ فِي ٱلۡأَرۡضِ يَبۡتَغُونَ مِن فَضۡلِ ٱللَّهِ وَءَاخَرُونَ يُقَٰتِلُونَ فِي سَبِيلِ ٱللَّهِۖ فَٱقۡرَءُواْ مَا تَيَسَّرَ مِنۡهُۚ وَأَقِيمُواْ ٱلصَّلَوٰةَ وَءَاتُواْ ٱلزَّكَوٰةَ وَأَقۡرِضُواْ ٱللَّهَ قَرۡضًا حَسَنٗاۚ وَمَا تُقَدِّمُواْ لِأَنفُسِكُم مِّنۡ خَيۡرٖ تَجِدُوهُ عِندَ ٱللَّهِ هُوَ خَيۡرٗا وَأَعۡظَمَ أَجۡرٗاۚ وَٱسۡتَغۡفِرُواْ ٱللَّهَۖ إِنَّ ٱللَّهَ غَفُورٞ رَّحِيمُۢ ٢٠
Inna rabbaka ya'lamu annaka taqūmu adnā min thuluthayil-layli wanisfahū wathuluthahū watā'ifatum minal-ladhīna ma'aka wallāhu yuqaddirul-layla wan-nahāra 'alima al lan tuhsūhu fatāba 'alaykum faqra'ū mā tayassara minal-qur'āni 'alima an sayakūnu minkum mardā wa ākharūna yadribūna fil-ardi yabtaghūna min fadlillāhi wa ākharūna yuqātilūna fī sabīlillāhi faqra'ū mā tayassara minhu wa aqīmus-salawāta wa ātuz-zakawāta wa aqridullāha qardan hasanan wamā tuqaddimū li anfusikum min khayrin tajidūhu 'indallāhi huwa khayran wa a'zama ajran wastaghfirullāha innallāha ghafūrur rahīm
Hakika Mola wako Mlezi anajua ya kuwa hakika wewe unakesha karibu na thuluthi mbili za usiku, na nusu yake, na thuluthi yake. Na baadhi ya watu walio pamoja nawe kadhaalika. Na Mwenyezi Mungu ndiye anaye ukadiria usiku na mchana. Anajua kuwa hamwezi kuweka hisabu, basi amekusameheni. Basi someni kilicho chepesi katika Qur'ani. Anajua ya kuwa baadhi yenu watakuwa wagonjwa, na wengine wanasafiri katika ardhi wakitafuta fadhila ya Mwenyezi Mungu, na wengine wanapigana katika Njia ya Mwenyezi Mungu. Kwa hivyo someni kilicho chepesi humo, na mshike Swala, na toeni Zaka, na mkopesheni Mwenyezi Mungu mkopo mwema. Na kheri yoyote mnayo itanguliza kwa ajili ya nafsi zenu mtaikuta kwa Mwenyezi Mungu, imekuwa bora zaidi, na ina thawabu kubwa sana. Na mtakeni msamaha Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu. 20
Nambari za maelezo ya chini zinaelekeza kwenye ukurasa wa aya, ambapo maelezo ya mfasiri yanaonyeshwa.
Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.
Surat Al-Muzzammil ina aya 20. Ni sura namba 73 ya Qur'ani.
Surat Al-Muzzammil ni sura Makkiya.
Surat Al-Muzzammil iko katika juzuu 29.
Ndiyo. Bonyeza Cheza juu ya ukurasa huu, au anza kutoka aya yoyote. Programu ya Qabas pia inakuwezesha kuipakua ili kuisikiliza bila intaneti.