Surat Al-Muzzammil, aya 13

73:13

وَطَعَامٗا ذَا غُصَّةٖ وَعَذَابًا أَلِيمٗا ١٣

Wata'āman dhā ghussatin wa'adhāban alīmā

Na chakula kinacho kwama kooni, na adhabu inayo umiza. 13

Maelezo ya chini

13 Na chakula kinacho sakama kooni, hakimezeki, na adhabu yenye uchungu mkali usio stahamilika.