وَٱصۡبِرۡ عَلَىٰ مَا يَقُولُونَ وَٱهۡجُرۡهُمۡ هَجۡرٗا جَمِيلٗا ١٠
Wasbir 'alā mā yaqūlūna wahjurhum hajran jamīlā
Na vumilia hayo wayasemayo, na jitenge nao kwa vizuri. 10
Maelezo ya chini
10 Na vumilia upuuzi wanao usema, na jitenge nao kwa moyo wako, na nenda kinyume na vitendo vyao, pamoja na kuwapuuza, na kuacha kujilipizia.