Surat Al-Muzzammil, aya 11

73:11

وَذَرۡنِي وَٱلۡمُكَذِّبِينَ أُوْلِي ٱلنَّعۡمَةِ وَمَهِّلۡهُمۡ قَلِيلًا ١١

Wadharnī wal-mukaddhibīna ulin-na'mati wamahhilhum qalīlā

Na niache Mimi na hao wanao kanusha, walio neemeka; na wape muhula kidogo! 11

Maelezo ya chini

11 Niachilie Mimi hao wanao kadhibisha, wenye kuneemeshwa, na uwape muhula muda mfupi.