أَوۡ زِدۡ عَلَيۡهِ وَرَتِّلِ ٱلۡقُرۡءَانَ تَرۡتِيلًا ٤
Aw zid 'alayhi warattilil-qur'āna tartīlā
Au izidishe - na soma Qur'ani kwa utaratibu na utungo. 4
Maelezo ya chini
4 Au zidisha kwenye nusu mpaka ifikie thuluthi mbili. Na soma Qur'ani kwa pole pole ukibainisha harufi, na pa kusita usite, pasiwe na nuksani yoyote.