Surat Al-Muzzammil, aya 7

73:7

إِنَّ لَكَ فِي ٱلنَّهَارِ سَبۡحٗا طَوِيلٗا ٧

Inna laka fin-nahāri sabhan tawīlā

Kwani hakika mchana una shughuli nyingi. 7

Maelezo ya chini

7 Hakika mchana unakuwa na mambo mengi ya kukuhangaisha kutafuta maslaha ya maisha yako, na kushughulika na mambo ya kufikisha Ujumbe. Basi jiwekee nafsi yako faragha ya usiku kwa ajili ya kumuabudu Mola wako Mlezi.