وَٱذۡكُرِ ٱسۡمَ رَبِّكَ وَتَبَتَّلۡ إِلَيۡهِ تَبۡتِيلٗا ٨
Wadhkurisma rabbika watabattal ilayhi tabtīlā
Na lidhukuru jina la Mola wako Mlezi, na ujitolee kwake kwa ukamilifu. 8
Maelezo ya chini
8 Na pitisha ulimini mwako kudhukuru jina la Mola aliye kuumba na kukulea, na mkhusishe Yeye tu kwa ibada kwa ukamilifu.