Surat Al-Muzzammil, aya 14

73:14

يَوۡمَ تَرۡجُفُ ٱلۡأَرۡضُ وَٱلۡجِبَالُ وَكَانَتِ ٱلۡجِبَالُ كَثِيبٗا مَّهِيلًا ١٤

Yawma tarjuful-ardu wal-jibālu wakānatil-jibālu kathībam mahīlā

Siku ambayo ardhi itatikiswa na milima pia, na milima itakuwa kama tifutifu la mchanga. 14

Maelezo ya chini

14 Siku itakapo tikisika ardhi na milima kwa mtikiso mkubwa mno, na milima ikawa mirundu ya mchanga ulio tapanyika, baada ya kuwa mawe magumu yaliyo shikamana.