إِنَّ نَاشِئَةَ ٱلَّيۡلِ هِيَ أَشَدُّ وَطۡـٔٗا وَأَقۡوَمُ قِيلًا ٦
Inna nāshi'atal-layli hiya ashaddu wat'an wa aqwamu qīlā
Hakika kuamka usiku kunawafikiana zaidi na moyo, na maneno yake yanatua zaidi. 6
Maelezo ya chini
6 Hakika ibada zinazo fanywa usiku zinaganda zaidi katika moyo wa mtu, na zinabainika zaidi ulimini, na zinasibu vyema zaidi, kuliko visomo vya ibada za mchana.