Surat Al-Muzzammil, aya 18

73:18

ٱلسَّمَآءُ مُنفَطِرُۢ بِهِۦۚ كَانَ وَعۡدُهُۥ مَفۡعُولًا ١٨

As-samā'u munfatiru bihī kāna wa'duhū maf'ūlā

Hapo mbingu zitapasuka! Ahadi yake itakuwa imetekelezwa. 18

Maelezo ya chini

18 Mbingu juu ya nguvu zake na ukubwa wake, Siku hiyo zitapasukilia mbali kwa shida zake na vitisho vyake. Na ahadi ya Mwenyezi Mungu ni lazima itokee, hapana hivi wala hivi.