فَعَصَىٰ فِرۡعَوۡنُ ٱلرَّسُولَ فَأَخَذۡنَٰهُ أَخۡذٗا وَبِيلٗا ١٦
Fa'asā fir'awnur-rasūla fa akhadhnāhu akhdhan wabīlā
Lakini Firauni alimuasi huyo Mtume, basi tukamshika mshiko wa mateso. 16
Maelezo ya chini
16 Firauni akamkataa huyo Mtume, basi tukamshika kwa mshiko wa nguvu!