إِنَّ لَدَيۡنَآ أَنكَالٗا وَجَحِيمٗا ١٢
Inna ladaynā ankālan wajahīmā
Hakika Sisi tunazo pingu nzito na Moto unao waka kwa ukali kabisa! 12
Maelezo ya chini
12 Huko Akhera tumewawekea wanao kadhibisha pingu nzito, na Moto wa kuunguza,