Surat An-Nasr, aya 2

110:2

وَرَأَيۡتَ ٱلنَّاسَ يَدۡخُلُونَ فِي دِينِ ٱللَّهِ أَفۡوَاجٗا ٢

Wara'aytan-nāsa yadkhulūna fī dīnillāhi afwājā

Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi, 2

Maelezo ya chini

2 Na ukawaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu makundi kwa makundi,