Wa innaka la'ala khuluqin 'azim

Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani

وَإِنَّكَ لَعَلَىٰ خُلُقٍ عَظِيمٖ ٤

Wa innaka la'alā khuluqin 'azīm

Na hakika wewe una tabia tukufu. 4

Maelezo ya chini

4 Na hakika wewe bila ya shaka umeshikamana na sifa nzuri kabisa na vitendo vizuri kabisa alivyo kuumba navyo Mwenyezi Mungu.

Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.

Soma Surat Al-Qalam yote

Maswali

Wa innaka la'ala khuluqin 'azim iko wapi katika Qur'ani?

Wa innaka la'ala khuluqin 'azim iko katika Surat Al-Qalam, 68:4.