إِنَّمَآ أَمۡرُهُۥٓ إِذَآ أَرَادَ شَيۡـًٔا أَن يَقُولَ لَهُۥ كُن فَيَكُونُ ٨٢
Innamā amruhū idhā arāda shay'an an yaqūla lahū kun fayakūn
Hakika amri yake anapo taka kitu ni kukiambia tu: Kuwa! Na kikawa. 82
Maelezo ya chini
82 Hakika shani yake katika kuumba anapo taka kiwe kitu ni kukiambia tu: Kuwa! Kikawa, na hutokea hapo hapo!