Surat Ash-Shu'ara, aya 208

26:208

وَمَآ أَهۡلَكۡنَا مِن قَرۡيَةٍ إِلَّا لَهَا مُنذِرُونَ ٢٠٨

Wamā ahlaknā min qaryatin illā lahā mundhirūn

Wala hatukuangamiza mji wo wote ila ulikuwa na waonyaji. 208

Maelezo ya chini

208 Na mwendo wetu kwa kaumu zote ni kuwa hatuuteketezi umma ila baada ya kuwatumia Mitume wa kuwaonya kwa kufuata hoja,