Surat Ash-Shu'ara, aya 209

26:209

ذِكۡرَىٰ وَمَا كُنَّا ظَٰلِمِينَ ٢٠٩

Dhikrā wamā kunnā zālimīn

Kuwa ni ukumbusho. Wala Sisi hatukuwa wenye kudhulumu. 209

Maelezo ya chini

209 Wakumbuke na wazingatie. Wala si shani yetu kudhulumu hata tuuadhibu umma kabla ya kuwaletea Mtume.