Surat Ash-Shu'ara, aya 207

26:207

مَآ أَغۡنَىٰ عَنۡهُم مَّا كَانُواْ يُمَتَّعُونَ ٢٠٧

Mā aghnā 'anhum mā kānū yumatta'ūn

Yatawafaa nini yale waliyo stareheshewa?. 207

Maelezo ya chini

207 Kustarehe kwao kwa umri mrefu na maisha mema hakutowakinga hata chembe na adhabu ya Mwenyezi Mungu. Kwani adhabu ya Mwenyezi Mungu itakuja tu, kama si leo kesho. Wala hapana kheri katika neema ambayo khatima yake ni adhabu.