Surat As-Saffat, aya 163

37:163

إِلَّا مَنۡ هُوَ صَالِ ٱلۡجَحِيمِ ١٦٣

Illā man huwa sālil-jahīm

Isipo kuwa yule atakaye ingia Motoni. 163

Maelezo ya chini

163 Isipo kuwa yule ambaye tangu hapo Mwenyezi Mungu Mtukufu anamjua ni katika watu wa Motoni, na huko ataingia.