مَآ أَنتُمۡ عَلَيۡهِ بِفَٰتِنِينَ ١٦٢
Mā antum 'alayhi bifātinīn
Hamwezi kuwapoteza. 162
Maelezo ya chini
162 Enyi makafiri! Hakika nyinyi, na hao mnao waabudu badala ya Mwenyezi Mungu - Nyinyi kwa kuwaabudu kwenu badala yake Yeye, hamtampoteza yeyote kwa upotovu wenu.