وَمَا مِنَّآ إِلَّا لَهُۥ مَقَامٞ مَّعۡلُومٞ ١٦٤
Wamā minnā illā lahū maqāmum ma'lūm
Na hapana katika sisi ila anapo mahali pake maalumu. 164
Maelezo ya chini
164 Na Malaika kuwania kuwa wao ni waja wa Mwenyezi Mungu, wakasema: Hapana yeyote katika sisi ila ana cheo chake maalumu katika ujuzi, na ibada, na wala hakikiuki hicho.