Surat Al-Qiyamah, aya 2

75:2

وَلَآ أُقۡسِمُ بِٱلنَّفۡسِ ٱللَّوَّامَةِ ٢

Walā uqsimu bin-nafsil-lawwāmah

Na ninaapa kwa nafsi inayo jilaumu! 2

Maelezo ya chini

2 Na ninaapa na natilia mkazo kiapo hichi kwa nafsi inayo mlaumu mtu kwa dhambi zake na upungufu wake, ya kwamba bila ya shaka yoyote mtafufuliwa baada ya kukusanywa mafupa yenu yaliyo tawanyika.